ECU

ECU Cloning Ni Nini na Ni Lini Inahitajika?

ECU cloning ni unakili wa taarifa zote za ECU ya zamani (mipangilio, immobilizer data, na programu) kwenda kwenye ECU mpya au ya matumizi, ili gari liendelee kufanya kazi kama kawaida bila kuhitaji kupanga upya funguo zote au mifumo mingine ya usalama.

Huduma hii kwa kawaida inahitajika pale ECU ya awali imeharibika kabisa (haiwezi kutengenezwa) na mmiliki hataki kupitia mchakato mrefu wa kupanga upya funguo zote kwenye ECU mpya kabisa. Cloning inaweka taarifa zilizokuwepo tayari kwenye ECU mpya, ikiokoa muda na usumbufu.

Si kila ECU inaweza ku-cloniwa — inategemea aina ya ECU na mfumo wa usalama wa gari. Uchunguzi wa awali unahitajika kubaini kama cloning inafaa kwa gari lako, au kama ECU Programming ya kawaida inatosha.

Huduma Zinazohusiana

Unahitaji huduma hii?

Soma Pia

Makala Nyingine

📱 📞
Tuachie namba yako

Tutakupigia au kukutumia ujumbe kuhusu huduma unayohitaji — haraka na bila malipo.

Asante! Tutawasiliana nawe hivi karibuni.