Omba, hariri au pakua ECU files kwa usalama — mfumo wa hatua sita, kwa mafundi na wateja Tanzania nzima.
ECU Files Marketplace ni huduma kwa ajili ya mafundi na wateja wanaohitaji ECU tuning files, nakala za awali za kiwanda (original files), au file editing ya file uliyoleta wewe mwenyewe. Mchakato ni salama: unapakia file, tunakupa quotation, na unapokea link salama ya kupakua file iliyokamilika.
Angalia pia ukurasa wa ECU File Editing kwa maelezo zaidi kuhusu uhariri wa file maalum.
Ni faili la kidijitali linaloendesha ECU ya gari lako — linaweza kuwa la awali (original) au lililohaririwa kwa madhumuni maalum.
Namba ya simu, aina ya gari, aina ya ECU, na file ya awali (kama inahitajika kuhaririwa).
Tutakupigia au kukutumia ujumbe kuhusu huduma unayohitaji — haraka na bila malipo.
Asante! Tutawasiliana nawe hivi karibuni.