Bidhaa zote za LAUNCH zinazopatikana MKUMBILWA CAR AUTOSERVICE.
LAUNCH automotive diagnostic scanners kwa vehicle scanning, fault diagnosis, live data na service functions. Models: X431 Pro, X431 Pro Elite, X431 PAD Series, X431 V+, na models nyingine kulingana na stock Bei: TZS 600,000 - 2,500,000 (inategemea model, software package, functions na vehicle coverage). Tafadhali tuma model unayotaka au budget yako kuthibitisha bei ya sasa.
Tutakupigia au kukutumia ujumbe kuhusu huduma unayohitaji — haraka na bila malipo.
Asante! Tutawasiliana nawe hivi karibuni.