Bidhaa zote za MUCAR zinazopatikana MKUMBILWA CAR AUTOSERVICE.
MUCAR automotive diagnostic scanners kwa vehicle scanning, fault diagnosis, live data na service functions. Models: CDE Series, VO Series, na models nyingine kulingana na stock Bei: TZS 600,000 - 2,500,000 (inategemea model, software package, functions na vehicle coverage). Tafadhali tuma model unayotaka au budget yako kuthibitisha bei ya sasa.
Tutakupigia au kukutumia ujumbe kuhusu huduma unayohitaji — haraka na bila malipo.
Asante! Tutawasiliana nawe hivi karibuni.