Mwanza, Tanzania

Smart Key

Upangaji wa funguo za kisasa (smart/remote).

Upangaji wa funguo za kisasa (smart/remote).

Kama smart key ya gari lako haifanyi kazi vizuri au haitambuliki, tunafanya programming ya smart key kwa magari mengi ya kisasa.

Kupanga funguo mpya au kutengeneza remote isiyofanya kazi kunahitaji kuunganisha na mfumo wa usalama wa gari lako (immobilizer). Tunatumia vifaa maalum vya key programming kuhakikisha funguo mpya inaendana kikamilifu na gari lako.

Huduma hii inatolewa Mabatini, Mwanza. Kwa maelezo zaidi au kuweka miadi, wasiliana nasi kwa simu, WhatsApp au fomu iliyo hapa chini.

Dalili za Kawaida

  • Gari halitambui funguo uliyokuwa unaitumia
  • Umepoteza funguo pekee uliyokuwa nayo
  • Remote haifungui au kufunga gari tena
Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

FAQ

Wasiliana nasi na taarifa za gari lako (namba ya usajili na aina ya gari) — tunaweza kupanga funguo mpya kwenye mfumo wa usalama wa gari bila ile ya zamani.

Ndiyo — tunafanya programming ya smart key na remote kwa magari mengi yanayotumia mifumo hiyo.

Huduma Zinazohusiana

Angalia pia

Soma Zaidi

Makala Zinazohusiana

📱 📞
Tuachie namba yako

Tutakupigia au kukutumia ujumbe kuhusu huduma unayohitaji — haraka na bila malipo.

Asante! Tutawasiliana nawe hivi karibuni.