Tuma SMS nyingi na unganisha SMS API kwenye mfumo wako.
Tunatoa huduma ya Bulk SMS Tanzania kwa biashara zinazohitaji kutuma ujumbe mfupi kwa wateja wengi kwa wakati mmoja — matangazo, arifa, au ukumbusho. SMS API yetu pia inaweza kuunganishwa moja kwa moja kwenye mfumo wako wa biashara (mfano tovuti au CRM) ili SMS zitume kiotomatiki.
Ndiyo — API yetu inaweza kuunganishwa kwenye tovuti au mfumo wowote wa biashara yako.
Tutakupigia au kukutumia ujumbe kuhusu huduma unayohitaji — haraka na bila malipo.
Asante! Tutawasiliana nawe hivi karibuni.