Tafuta file kwa aina ya gari lako. Kama huoni gari lako hapa, tumia ombi maalum (custom request) kwenye ukurasa wa ECU Files.
Original file na Stage 1 remap kwa 1KD-FTV — imepimwa na kuthibitishwa.
Nakala ya awali (original) ya factory ECU file kwa 2KD-FTV.
EGR na DPF off file kwa 4JJ1 — kwa matumizi ya kiufundi pekee.
Tutakupigia au kukutumia ujumbe kuhusu huduma unayohitaji — haraka na bila malipo.
Asante! Tutawasiliana nawe hivi karibuni.