ECU

ECU File Ni Nini?

ECU file ni faili la kidijitali (mfano .bin au .hex) linalobeba programu na mipangilio yote inayoendesha ECU ya gari lako. Faili hili ndilo linalobeba maelekezo kuhusu jinsi injini inavyopaswa kufanya kazi.

Katika ECU Files Marketplace yetu, tunashughulikia aina tatu za mahitaji: ECU tuning files (faili za marekebisho ya utendaji), original files (nakala za awali za kiwanda, muhimu kwa backup au kurudisha mipangilio ya awali), na file editing (uhariri wa file uliyoleta wewe mwenyewe kwa lengo maalum).

Mchakato ni salama na wa hatua sita: unachagua ECU/gari lako, unapakia original file, unajaza taarifa za gari, unachagua huduma unayohitaji, unapokea quotation, na hatimaye unapakua file iliyokamilika kupitia link salama.

Huduma Zinazohusiana

Unahitaji huduma hii?

Soma Pia

Makala Nyingine

📱 📞
Tuachie namba yako

Tutakupigia au kukutumia ujumbe kuhusu huduma unayohitaji — haraka na bila malipo.

Asante! Tutawasiliana nawe hivi karibuni.