Tanzania

ECU Replacement

Pale ECU haiwezi kutengenezwa tena, tunakusaidia kuchagua na kuandaa ECU mbadala inayoendana na gari lako.

Ubadilishaji wa ECU unahitaji uangalifu — ECU mpya au ya matumizi (used) lazima iendane na chassis namba na mfumo wa gari lako, kisha iandaliwe (programmed) kabla ya kufanya kazi. Tunashughulikia mchakato mzima, kutoka uchunguzi wa ECU ya zamani hadi kuandaa ile mpya.

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

FAQ

ECU mpya inahitaji kuandaliwa (programming) ili iendane na gari lako kabla ya kuanza kutumika.

Huduma Zinazohusiana

Angalia pia

Soma Zaidi

Makala Zinazohusiana

📱 📞
Tuachie namba yako

Tutakupigia au kukutumia ujumbe kuhusu huduma unayohitaji — haraka na bila malipo.

Asante! Tutawasiliana nawe hivi karibuni.