Tanzania

Garage Management System

Simamia huduma, wateja na hesabu za karakana yako mahali pamoja.

Tumejenga na tunatoa Garage Management System kwa ajili ya karakana na vituo vya huduma za magari vinavyotaka kuhama kutoka daftari za karatasi kwenda mfumo wa kidijitali — kufuatilia wateja, kazi zinazoendelea, na hesabu za mapato mahali pamoja. Mfumo unapatikana kama demo kwa maombi.

Huduma Zinazohusiana

Angalia pia

📱 📞
Tuachie namba yako

Tutakupigia au kukutumia ujumbe kuhusu huduma unayohitaji — haraka na bila malipo.

Asante! Tutawasiliana nawe hivi karibuni.