Mashine na scanner za diagnostic za kiwango cha kitaalamu kwa magari.
2 bidhaa
Automotive Diagnostic Machines kwa ajili ya vehicle scanning, fault diagnosis, live data, service functions, system testing, coding, programming na advanced vehicle diagnostics. Tunapatikana na mashine kutoka KINGBOLEN, MUCAR, THINKCAR / THINKDIAG, LAUNCH na brands nyingine kulingana na model na availability. Bei: TZS 350,000 - 1,200,000 (inategemea brand, model ya machine, software package, functions, vehicle coverage, subscription/update status na accessories zinazokuja na machine). Wigo wa Bei: - Entry-level diagnostic scanners: kuanzia TZS 350,000 - Mid-range professional scanners: TZS 450,000 - 900,000 - Advanced professional scanners: TZS 600,000 - 1,200,000 MUHIMU: Tafadhali tuma jina la machine/model unayotaka au budget yako kabla ya kuagiza ili kuthibitisha availability, functions, software package na bei ya sasa.
Tutakupigia au kukutumia ujumbe kuhusu huduma unayohitaji — haraka na bila malipo.
Asante! Tutawasiliana nawe hivi karibuni.